Nina kababy kana miaka miwili,niliachana na mzazi mwenzangu nikiwa na mimba ya miezi mitano,toka hapo sikuwa katika mahusiano ya kimapenzI,mwanangu amenitimiza miaka miwili ila bado ananyonya,je ni sahihi kuanza mahusiano au ndio kuwa na wanaume tofauti wakati mtoto ananyonya inaweza kumuathiri mtoto,wajuzi wa hivi vitu naomba ushauri please
Mtoto bado mdogo mnyonyeshe mpaka five years kawe ka jiniaz
Unampango wa kuwa nao wangapi?Nina kababy kana miaka miwili,niliachana na mzazi mwenzangu nikiwa na mimba ya miezi mitano,toka hapo sikuwa katika mahusiano ya kimapenzI,mwanangu amenitimiza miaka miwili ila bado ananyonya,je ni sahihi kuanza mahusiano au ndio kuwa na wanaume tofauti wakati mtoto ananyonya inaweza kumuathiri mtoto,wajuzi wa hivi vitu naomba ushauri please