mohamed hassani Member Joined Sep 5, 2014 Posts 12 Reaction score 1 Aug 13, 2016 #1 Habari wakuu, Jamanii hizi taarifa za kufutwa kwa foundation course open ni kweli? Naomba kujulishwa
siraji ahmada Member Joined Aug 3, 2016 Posts 37 Reaction score 3 Aug 13, 2016 #2 Hata m nackia cjui km ni kwel
NANGA WA KWATA JF-Expert Member Joined Jul 8, 2016 Posts 346 Reaction score 232 Aug 13, 2016 #3 ni kweli ndio
mohamed hassani Member Joined Sep 5, 2014 Posts 12 Reaction score 1 Aug 13, 2016 Thread starter #4 Dah!! Chanzo cha ukweli wapi? Maan nmeingia www.out.ac.tz cjaona
Mshikawezi Mwizi JF-Expert Member Joined Jul 24, 2013 Posts 751 Reaction score 375 Aug 13, 2016 #5 Kwani nilipoongea kwenye vyombo vya habari hukusikia?
NANGA WA KWATA JF-Expert Member Joined Jul 8, 2016 Posts 346 Reaction score 232 Aug 13, 2016 #7 wabongo bwana ww mtoa mada huamini tcu imeyafuta hayo matakataka karisiti ulipelekwa shule ukakalia ngono goja ukione cha moto na mwenye nchi rais wenu chenga upupu
wabongo bwana ww mtoa mada huamini tcu imeyafuta hayo matakataka karisiti ulipelekwa shule ukakalia ngono goja ukione cha moto na mwenye nchi rais wenu chenga upupu