Mwanga wa Jua JF-Expert Member Joined Mar 7, 2025 Posts 272 Reaction score 223 Mar 12, 2025 #1 Naona anayesaini taarifa zote za Kamati za Kamati kuu na Halmashauri Kuu ni Issa Haji Ussi (GAVU) Je, Yuko Wapi Amos Makalla Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa?
Naona anayesaini taarifa zote za Kamati za Kamati kuu na Halmashauri Kuu ni Issa Haji Ussi (GAVU) Je, Yuko Wapi Amos Makalla Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa?
Fbn JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 14,137 Reaction score 33,547 Mar 12, 2025 #2 Hiyo sahii mbona kama yale maneno yanayo chorwa kwenye nazi,mayai na makombe ya waganga
Mwanga wa Jua JF-Expert Member Joined Mar 7, 2025 Posts 272 Reaction score 223 Mar 12, 2025 Thread starter #3 chizcom said: Hiyo sahii mbona kama yale maneno yanayo chorwa kwenye nazi,mayai na makombe ya waganga Click to expand... Unamaanisha nini?
chizcom said: Hiyo sahii mbona kama yale maneno yanayo chorwa kwenye nazi,mayai na makombe ya waganga Click to expand... Unamaanisha nini?
imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 61,236 Reaction score 98,405 Mar 12, 2025 #4 Naona AfroShirazi ndio wameamua kuwanyoosha Watanganyika.
Pascal_TZA Member Joined Mar 25, 2014 Posts 35 Reaction score 101 Mar 12, 2025 #5 Makalla yupo ziarani China Attachments IMG_1434.jpeg 998.3 KB · Views: 19
Orketeemi JF-Expert Member Joined Feb 12, 2013 Posts 5,524 Reaction score 14,199 Mar 12, 2025 #6 Amoss Makalla yupo ziara ya chama China
Mwanga wa Jua JF-Expert Member Joined Mar 7, 2025 Posts 272 Reaction score 223 Mar 12, 2025 Thread starter #7 Orketeemi said: Amoss Makalla yupo ziara ya chama China Click to expand... Sawa kabisa