Ndio maana CCM "Inatutawala",badala ya "Kutuongoza".
Ndio maana Taifa hili chini ya CCM limekuwa la "Skandali" kila uchao!
Uchumi wetu unamilikiwa kwa "Top Ten" Matajiri wasio wazawa!
Tangu Samia alipoficha wafadhili wa
"Royal Tour",tulijua mdudu ameingilia Magogoni!
Na Kwa Sababu hiyo,Ndio maana viongozi wanakisa Nguvu ya kujisimamia!
Ndio maana CCM haiaminiki kwa watanzania kwa sasa!
CCM iliyoaminika na watanzania sio hii ya kina #Mwigulu!
Bali ile ya kina Nyerere na baadae ya Magufuli!
Baadae imerudi ya "Majanga!"
Mabehewa TRC fake! Tofauti na tuliyoaminishwa na kuahidiwa na JPM!
UMEME Tanesco Upigaji kwenye mikataba na Majenereta!
Wizi umetamalaki kuanzia Hazina Mpaka Halmashauri!
"Force Account" imegeuka "Fierce Account"
Hujuma zimerudi upya ATCL!
MAFISADI wa CCM wanataka kutengeneza barabara binafsi ya kulipia, "Chalinze-Morogoro!"
Vyeti Fake wamerudi kimyakimya huku pia walio nje ya ajira wakilipwa upya!
Bei za vitu zinapanda huku Rais anatwambia tulizowea vya Bure!
Yaani Tanzania chini ya CCM tumegeuka watoto Yatima!
Ewe Mola ibariki Tanzania [emoji1241]
View attachment 2425745
Alamsikhi.
10101.