S sijison Member Joined Jun 16, 2013 Posts 11 Reaction score 1 Jun 23, 2013 #1 naombeni views zenu wadau wa jf kwan hali ya siasa siielewi mara huyu katupa boom wengi ccm mara chadema....
naombeni views zenu wadau wa jf kwan hali ya siasa siielewi mara huyu katupa boom wengi ccm mara chadema....
S sijison Member Joined Jun 16, 2013 Posts 11 Reaction score 1 Jun 23, 2013 Thread starter #2 ndio... lakin sidhan...?
M Masoud Mwakoba Senior Member Joined Dec 21, 2012 Posts 129 Reaction score 19 Jun 23, 2013 #3 Chadema ni bora zaidi ndiyo maana ccm wanajihami na kutumia nguvu
N nkwera phelelian Member Joined May 8, 2013 Posts 36 Reaction score 1 Jun 26, 2013 #4 Chadema ni bora zaidi..
S sam msengi New Member Joined May 25, 2013 Posts 2 Reaction score 0 Jun 30, 2013 #5 Ccm ni bara zaidi
K kabhakulu.com Member Joined Apr 17, 2013 Posts 70 Reaction score 8 Jun 30, 2013 #6 Chadema ni bora zaidi na ndo maana ccm inahaha hata kwa kutumia mabom.
mamseri JF-Expert Member Joined Oct 5, 2012 Posts 707 Reaction score 292 Jun 30, 2013 #7 ccm wameacha kushugulikia matatizo ya wananchi wanashugulika na chadema. Kweli chadema ni imara zaidi
ccm wameacha kushugulikia matatizo ya wananchi wanashugulika na chadema. Kweli chadema ni imara zaidi
M Matagwamenji Member Joined May 15, 2013 Posts 19 Reaction score 1 Jul 1, 2013 #8 Chadema ni zaidi. mimi nipo kongwa kwa ndugai. madiwan wa ccm wanahaha kuteremsha bendera za chadema badala ya kutekeleza ilani yao ya uchaguzi.
Chadema ni zaidi. mimi nipo kongwa kwa ndugai. madiwan wa ccm wanahaha kuteremsha bendera za chadema badala ya kutekeleza ilani yao ya uchaguzi.
S Saranda Member Joined Jul 4, 2012 Posts 53 Reaction score 8 Jul 3, 2013 #9 sijison said: naombeni views zenu wadau wa jf kwan hali ya siasa siielewi mara huyu katupa boom wengi ccm mara chadema.... Click to expand... Usiulize papa wa Rome ni mkatoliki. Mara zote CCM ni bora kuliko Chadomo. Chadema hawana mikakati ya muda mrefu walidhani mikakati ya muda mfupi matusi, kupandikiza chuki na udini vingewaletea umaarufu. Sasa imekula kwao.
sijison said: naombeni views zenu wadau wa jf kwan hali ya siasa siielewi mara huyu katupa boom wengi ccm mara chadema.... Click to expand... Usiulize papa wa Rome ni mkatoliki. Mara zote CCM ni bora kuliko Chadomo. Chadema hawana mikakati ya muda mrefu walidhani mikakati ya muda mfupi matusi, kupandikiza chuki na udini vingewaletea umaarufu. Sasa imekula kwao.