Je,bado kuna nafasi open university

Kwayeyote anayejua kama bado kuna muda na nafasi ya kuomba open anisaidie

Chuo Chenyewe Kinaitwa OPEN Sasa Una Wasiwasi Gani Mkuu? Hao Wako OPEN Hata Mpaka Siku Ya KIAMA IKIJA, Hivyo Nenda Ukasome.
 
Nenda pale chuo Onana Na Mwl OMBENI atakusaidia Sana kama unaqualify why wiki Hii Ndio intake imefunguliwa
 
Kwayeyote anayejua kama bado kuna muda na nafasi ya kuomba open anisaidie

Una mbinu mkuu!? Yaani baada ya kuona mikopo inatolewa mpaka Open ndo umeamua kurudi shule upate mtaji na marejesho ya saccos. Ahahaha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…