Habari wanajamvi
Hivi sasa kumekuwa na malalamiko makubwa sana ya upotevu wa nguvu za kiume na hii kupelekea kuibuka kwa waganga wengi na dawa za kila aina ila tatizo ndio linazidi kuongezeka. Sasa je katika miaka 10 ijayo akiba (hali) ya nguvu ya kiume nchini itakuwaje?
me hua nashangaa sana na sielewi haya mambo yanaendaje.
mwanaume kumwaga ndo starehe ya fainali, sasa tukitumia dawa za kuongeza hizo nguvu, hiyo starehe tutaipata wap tena