Bashite mimi Senior Member Joined May 2, 2017 Posts 113 Reaction score 62 May 10, 2017 #21 PNC 1 said: Hata atletico nayo ni Madrid Click to expand...
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,234 Reaction score 68,268 May 10, 2017 Thread starter #22 Atletico wamekaba kama Stand United. Goli la kizembe.
PNC JF-Expert Member Joined Feb 3, 2015 Posts 8,105 Reaction score 14,356 May 10, 2017 #23 Wapuuzi hawa washaruhusu goli bora nilale
Nifah JF-Expert Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,411 Reaction score 82,338 May 10, 2017 #24 Hiyo ndio Real Madrid bwana,haya haters kalaleni hahahaaaaaa
Perpendicular JF-Expert Member Joined Jul 5, 2015 Posts 1,494 Reaction score 1,185 May 10, 2017 #25 Nifah said: Hiyo ndio Real Madrid bwana,haya haters kalaleni hahahaaaaaa Click to expand... Ngoja twende ila nikisikia kawatia zingine narudi.
Nifah said: Hiyo ndio Real Madrid bwana,haya haters kalaleni hahahaaaaaa Click to expand... Ngoja twende ila nikisikia kawatia zingine narudi.
G Guasa Ambonii JF-Expert Member Joined Aug 13, 2015 Posts 8,545 Reaction score 10,296 May 10, 2017 #26 Ilikuwa dhahiri tutapata goli jamaa wanachezwa kigangwe sana na hapo ndipo tutakapo wapigia.
Nifah JF-Expert Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,411 Reaction score 82,338 May 10, 2017 #28 Guasa Amboni said: Ilikuwa dhahiri tutapata goli jamaa wanachezwa kigangwe sana na hapo ndipo tutakapo wapigia. Click to expand... Kumbe hadi huku tuko pamoja shemeji?
Guasa Amboni said: Ilikuwa dhahiri tutapata goli jamaa wanachezwa kigangwe sana na hapo ndipo tutakapo wapigia. Click to expand... Kumbe hadi huku tuko pamoja shemeji?
Nifah JF-Expert Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,411 Reaction score 82,338 May 10, 2017 #29 Perpendicular said: Ngoja twende ila nikisikia kawatia zingine narudi. Click to expand... Lala unono mkuu,sahau kurudi hapa hahaha
Perpendicular said: Ngoja twende ila nikisikia kawatia zingine narudi. Click to expand... Lala unono mkuu,sahau kurudi hapa hahaha
usser JF-Expert Member Joined Sep 25, 2015 Posts 13,978 Reaction score 14,097 May 10, 2017 #30 A Madrid bay bay Mjarbu tena mwakan Simion kama kama Anagundu na hii tim
Siempre Hechos JF-Expert Member Joined Dec 9, 2016 Posts 1,228 Reaction score 1,530 May 10, 2017 #31 usser said: A Madrid bay bay Mjarbu tena mwakan Simion kama kama Anagundu na hii tim Click to expand... Naomba tujuzane matokeo ya hii gem. Simuoni kashindwa kumuona genious Zizzou!
usser said: A Madrid bay bay Mjarbu tena mwakan Simion kama kama Anagundu na hii tim Click to expand... Naomba tujuzane matokeo ya hii gem. Simuoni kashindwa kumuona genious Zizzou!
funaku JF-Expert Member Joined Oct 12, 2011 Posts 38,535 Reaction score 31,199 May 10, 2017 #32 Nifah said: Hiyo ndio Real Madrid bwana,haya haters kalaleni hahahaaaaaa Click to expand... hapa tuko pamoja mwali
Nifah said: Hiyo ndio Real Madrid bwana,haya haters kalaleni hahahaaaaaa Click to expand... hapa tuko pamoja mwali
G Guasa Ambonii JF-Expert Member Joined Aug 13, 2015 Posts 8,545 Reaction score 10,296 May 10, 2017 #33 Nifah said: Kumbe hadi huku tuko pamoja shemeji? Click to expand... Yaah hapa pia nipo barabarra kabisa lete khabari za huko?
Nifah said: Kumbe hadi huku tuko pamoja shemeji? Click to expand... Yaah hapa pia nipo barabarra kabisa lete khabari za huko?
Upepo wa Pesa JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 21,786 Reaction score 35,747 May 10, 2017 #34 PNC 1 said: Wapuuzi hawa washaruhusu goli bora nilale Click to expand... naona unaumia kweli unapoona mfalme CR7 anapochanja mbuga!! lala zako bana...akina messi wanamuangalia CR7 sasa ivi anavyokimbiza kwenye uefa!
PNC 1 said: Wapuuzi hawa washaruhusu goli bora nilale Click to expand... naona unaumia kweli unapoona mfalme CR7 anapochanja mbuga!! lala zako bana...akina messi wanamuangalia CR7 sasa ivi anavyokimbiza kwenye uefa!
Perpendicular JF-Expert Member Joined Jul 5, 2015 Posts 1,494 Reaction score 1,185 May 10, 2017 #35 Nifah said: Lala unono mkuu,sahau kurudi hapa hahaha Click to expand... Nitarudi final kuja kukupole KUBWA. hongera lakini.
Nifah said: Lala unono mkuu,sahau kurudi hapa hahaha Click to expand... Nitarudi final kuja kukupole KUBWA. hongera lakini.
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,234 Reaction score 68,268 May 10, 2017 Thread starter #37 Hatukati tamaa, tunahamia kwa Juve
muhomakilo jr JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 15,835 Reaction score 14,729 May 11, 2017 #38 Kweli mtoto halali na hela...
Lizarazu JF-Expert Member Joined Aug 23, 2015 Posts 6,331 Reaction score 7,885 May 11, 2017 #39 Mussolin5 said: Hatukati tamaa, tunahamia kwa Juve Click to expand... Hao real Madrid huwa ni wachumba mbele ya Bianconeri. Tangu wambahatishe kwenye fainali ya 1998 hawajawahi tena kumsumbua juve kwenye uefa. Hilo usiwe na shaka kijana kombe linaenda Turin hakuna back to back victory hiyo wasahau.
Mussolin5 said: Hatukati tamaa, tunahamia kwa Juve Click to expand... Hao real Madrid huwa ni wachumba mbele ya Bianconeri. Tangu wambahatishe kwenye fainali ya 1998 hawajawahi tena kumsumbua juve kwenye uefa. Hilo usiwe na shaka kijana kombe linaenda Turin hakuna back to back victory hiyo wasahau.
balibabambonahi JF-Expert Member Joined Apr 5, 2015 Posts 16,513 Reaction score 15,154 May 11, 2017 #40 PNC 1 said: Wacha wafeeee Tyari yangeyange kashawekwa 2 wapi mmoroko mzee wa offside Click to expand... Inzi akiacha ujinga atatengeneza asali
PNC 1 said: Wacha wafeeee Tyari yangeyange kashawekwa 2 wapi mmoroko mzee wa offside Click to expand... Inzi akiacha ujinga atatengeneza asali