Yupo Jimbo Katoliki Bukoba ameshastaafu.Yuko wapi huyu Mwana Harakati Mkatoliki....??!!
Alibamba sana katika kuikosoa Serikali enzi zake akiwa Askofu Mkuu Msaidizi wa Jimbo Kuu La Dar Es Salaam?!!!
Alipenda kubamba kupitia BBC -Swahili Service..akafuatiwa na Ukimyaaaa..Mpaka Leo hii?!!
Pona baba,pona hiyo Chuki uliyomezeshwa madrasa dhidi ya ukatoliki!Yuko wapi huyu Mwana Harakati Mkatoliki....??!!
Alibamba sana katika kuikosoa Serikali enzi zake akiwa Askofu Mkuu Msaidizi wa Jimbo Kuu La Dar Es Salaam?!!!
Alipenda kubamba kupitia BBC -Swahili Service..akafuatiwa na Ukimyaaaa..Mpaka Leo hii?!!
Huna unalolijua kuhusu Ukatoliki na mie siko huko ulikomezeshwa wewe...Pona baba,pona hiyo Chuki uliyomezeshwa madrasa dhidi ya ukatoliki!
Kwa akili yako unaamini unaudiscredit ukatoliki na hii itasaidia kuinufaisha dini yako!
Pona kwa Jina lipitayo majina yote la Yesu Kristu wa Nazareth aliye Hai!
Amestaafu utumishi wa kanisa katika cheo cha Askofu Msaidizi Jimbo Katoliki Bukoba.Kulamba Asali au?
Huna unalolijua kuhusu Ukatoliki na mie siko huko ulikomezeshwa wewe...
Nikikuuliza. -ULALO MWEKUNDU- ni kitu gani kwenye Ukatoliki utanijibu??
Jibu hapa tuendel
Naomba nikupuuze tafadhali!Huna unalolijua kuhusu Ukatoliki na mie siko huko ulikomezeshwa wewe...
Nikikuuliza. -ULALO MWEKUNDU- ni kitu gani kwenye Ukatoliki utanijibu??
Jibu hapa tuendelee