J JamiiTalks JF Advocacy Team Joined Aug 7, 2018 Posts 693 Reaction score 1,164 Jan 25, 2021 #1 Asasi za kiraia ni mashirika yasiyokuwa ya kiserikali yanayofanya kazi kwa maslahi ya wananchi. Kwa kiwango kikubwa asasi za kiraia zipo kwa ajili ya kukuza ustawi wa watu na maendeleo ya nchi kwa ujumla. Wazo la asasi za kiraia lina utamaduni mrefu na ni msingi muhimu wa jamii za kisasa. Watendaji wa Asasi za Kiraia wanahusika katika maeneo anuwai ya shida za Wananchi Harakati nyingi za Asasi za Kiraia huamsha michakato ya majadiliano na hatimaye uundwaji wa sera za kusimamia nchi. Upvote 1
Asasi za kiraia ni mashirika yasiyokuwa ya kiserikali yanayofanya kazi kwa maslahi ya wananchi. Kwa kiwango kikubwa asasi za kiraia zipo kwa ajili ya kukuza ustawi wa watu na maendeleo ya nchi kwa ujumla. Wazo la asasi za kiraia lina utamaduni mrefu na ni msingi muhimu wa jamii za kisasa. Watendaji wa Asasi za Kiraia wanahusika katika maeneo anuwai ya shida za Wananchi Harakati nyingi za Asasi za Kiraia huamsha michakato ya majadiliano na hatimaye uundwaji wa sera za kusimamia nchi.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 177,362 Reaction score 195,197 Jan 25, 2021 #2 Ahsante kwa taarifa... Cc: mahondaw
Chukwu emeka JF-Expert Member Joined Jan 12, 2018 Posts 25,275 Reaction score 40,885 Jan 25, 2021 #3 Sivili sosayati.......au siyo mkuu