Je ananipenda au?

jafari irigo

Member
Joined
Jan 9, 2013
Posts
16
Reaction score
0
jaman ndugu zanguni mimi ndo mara ya kwanza kuomba ushauri wangu katika jukwaa hili.

Nilikua naomba mnisaidie kwa hili ninampenzi wangu na ninampenda na yeye anadai eti ananipenda lakini hata miezi 10 inaweza ikapita bilahata kufanya mapenzi na yeye. Na nikimgusia tu kuhusu jambo hilo anagoma kabisa etianadai anapo kaa na mimitu anaridhika.
Jaman hivi ananipenda au ndo kunizingua.
Naombo mnishauri waungwana.
 
Mpenzi wako unatuuliza sisi kama anakupenda au hakupendi si tutajuaje...haya ngoja waje kukushauri kwa kudepend kwenye hiyo factor yako moja tu uliyoitoa(ngono)
 
Mkuu ingekuwa kwamba kutokukupenda ndio sababu pekee inayomfanya mtu asifanye ngono nawe au kukupenda ndio sababu pekee ya kufanya ngono then ungekuwa sahihi kabisa.
 
mmh' hapendwi mtu yapendwa pochi' chunga sana haya maneno
 
jafari irigo hebu jifunze kuandika kwa ufasaha basi.........,

ni hamjawahi kufanya mapenzi kabisa au!!!!
 
Last edited by a moderator:
Teh teh anaweza akawa anakupenda na hakupendi vilevile......
 

Hivi mapenzi ni mpaka mpeana papuchi? Hata hivyo kwa sentensi hii "Inaweza kupita hata miezi kumi bila hata kufanya mapenzi" maana yake si huwa anakupa? Sasa ulitaka uwe unapewa kila siku ndugu yangu kana kwamba ameshakuwa mke wako? Una mpango wa kufunga naye ndoa? Inawezekana anajaribu kujilinda na kujitunza kwa ajili ya maisha yenu bora ya baadaye. Ingekuwa una fununu kuwa kapata mtu mwingine, hapo tungesema mengine.
 
Hivi hujuwi unaweza kupewa paPuchi kila unapohitaji lakini hupendwi? TAFAKARI CHUKUWA HATUA.
 
Kaka waweza pewa kila mara bt ac pende ....ila kwa wewe inaonyesha sex ndo kipimo cha mapenz xo talk with her
 
Hivi, we kipimo chako cha kupendwa ni mgegedo..???
 

Nenda kamshtaki kwa wazazi au walezi wake. period
 
kasema alikwambia mkapime afya zenu ukagoma ndio maana hataki mfikie kugegedana tu bila utaratibu:nb wabongo bila nkugegeda hakuna mapenzi? loo kazi kwelikweli
 

Dah jembe mimi nina uhakika 80% wanakusaidia kumega huyo dem, yuko naww kwasababu ya kitu flani tu ila sidhan kama ana mapenz ya kwel kwako
 
papuch wanagonga wengine wewe umeshikilia pembe tu dah pole miezi 10 hali huyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…