Messier 31
JF-Expert Member
- Feb 1, 2017
- 489
- 1,265
Yah kipo outdated ila concept ni zile zile tu,Thanks Mkuu, hiki nimekiDownload leo nimekipitia tu ila bado sijaanza kukisoma, nimekutana na maoni ya wadau wakisema kiko outdated sana hivyo nikakiweka Karantini kwanza ili nipate mapendekezo zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani Mkuu,Yah kipo outdated ila concept ni zile zile tu,
chukua hicho cha Daniel Yang Introduction to java and algorithm cha 2017,kipo vizuri
Head first java by kathy sierra & bert batesViwekeni humu ivyo vitabu na sie wenye passion tuanze kujifunza kiana
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo Mwaka wa Kwanza, program ni ITmhshemdoe,
Mwaka wa ngapi/kozi gani mkubwa!
Hiki ndio kitabu sasa ,kwa mtu anayetaka kujifunza javaCheki hiki DEITEL
👏Cheki hiki DEITEL
inatumika jumlisha but hakikisha zote ni namba.Wakubwa msaada kidogo,
Naomba kujua namna ya kujumlisha data types mbili kwenye JavaScript ,nikitumia alama ya jumlisha inagoma.
Yani ;
Var cal= cw+ue;
Nataka ije sum natumia alama gani?
inatumika jumlisha but hakikisha zote ni namba.
+ kwenye javascript ina kazi mbili, ya kwanza ni addition, ya pili ni string concatenation.
Hivyo ukitumia namba na +, zitajumlishwa, ila ukitumia strings, au ukichanganya namba na strings, zitafanyiwa concatenation
Hizo variable mbili zimetumika wapi? Kwenye form?Kwa mfano,
Function (){
var cw=document.getElementbyId('f1').value;
var ue=document.getElementbyId('g1').value;
var ans=cw+ue;
}
Hizo cw na ue id zake zimebeba namba sio string lakini nikijaribu Ku sum jibu linakuwa concatenated.
Nifanyeje kumbuka hizo variable mbili zimebeba namba sio string.
Ndiyo, id zake zimetumika kwenye formHizo variable mbili zimetumika wapi? Kwenye form?