yupo wapi hivi sasa?... anajishughulisha na kazi gani?
nahisi kama yupo bongo atakuwa anaishi maisha ya kificho sana cos hiyo video itakuwa ina mu-haunt kila siku ipitayo kwa mungu.
kwa mfano yule dada nsia swai kule instagram huwa anapost picha zake kwa kujihami sana. nahisi na yeye atakuwa anapitia jinamizi la zile picha zake zilizovuja miaka ile ya zamani.