ni maswali ambayo hata TCRA wenyewe hawana majibualijuaje kuwa kweli sina pesa yoyote kwenye account yangu ya mpesa?
We una billion ngapi tajiri?Laki 2.5 ndio kiasi kikubwa??? Tafuta hela ndugu yangu
Mm sina kitu lkn laki 2 na nusu sio hela kubwa...tutafute hela nduguWe una billion ngapi tajiri?
Kitu gani ambacho hakieleki hapa? Yeye kasema ameamua kumwambia kiasi kikubwa kulinganisha na uhasiliwa wa kilichopo kwenye account yake. Na reason behind ni kwamba alitaka kuchezea akili za tapeli hivyo akasema kiasi ambacho ni reasonable na tapeli ataamini kwa urahisi.Laki 2.5 ndio kiasi kikubwa??? Tafuta hela ndugu yangu
Uzi wako una mantiki na maswali mazuri sana lakini kuna watu vichwa vyao vinawasaidia kuvuka barabara tu.We una billion ngapi tajiri?
Sasa kama alijua huna pesa, unadhani kwa nini alikupigia?Habari wanajukwaa. Leo nimepigiwa simu kutoka namba +255673099097, mpigaji akijitambulisha kuwa anafanya kazi makao makuu ya vodacom. Nilivyosikia hivyo tu, nikajua matapeli hawa. Basi nikajifanya mjinga kwenda naye taratibu ili asishtuke.
Alisema kuwa kuna mtu katuma pesa kwenye account yangu ya voda kimakosa, na akataka kujua kama nimepata message yoyote. Mimi nikamwambia, akate simu kwanza niione message yenyewe. Hakutaka kunipa muda huo, badala yake akaniuliza kiasi cha pesa kilichopo katika account yangu. Aliposisitiza sana nikaamua kudanganya kwa kumtajia kiasi kikubwa. Bila hata kunipa fursa ya kutazama kama kuna message yoyote akaishia kunitukana tusi baya sana huku akisema haioni pesa hiyo.
Kiasi chenyewe nilichomtajia ni shs 250,000, ambazo kwakweli hazikuwemo. Alivyomaliza kutukana akakata simu.
Nimebaki na maswali kadhaa. La kwanza, namba aliyotumia kupiga nadhani ni ya mtandao wa Tigo, huku akijitambulisha kuwa yuko vodacom, sijui ni kwanini?
Pili, alijuaje kuwa kweli sina pesa yoyote kwenye account yangu ya mpesa?
Nawasilisha.
Non smart thiefkwanza, namba aliyotumia kupiga nadhani ni ya mtandao wa Tigo, huku akijitambulisha kuwa yuko vodacom,
Vidole vyenyewe havilinganiLaki 2.5 ndio kiasi kikubwa??? Tafuta hela ndugu yangu
Laki 2.5 ndio kiasi kikubwa??? Tafuta hela ndugu yangu