Japanese working in kenya will no longer pay Taxes..Meanwhile more taxes added on kenyans

BS. This does not apply to all Japanese companies working in Kenya but only to those that work on infrastructure projects financed by the Government of Japan.
The aim is to reduce project costs. But private Japanese businessmen will continue paying taxes.


 
Umeeleweka, hoja yao Ina mantiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ifike mahali bidhaa zao zikataliwe EA market yaani ziwe taxed maana hai-make kuwa na common market halafu member mpumbavu anauza the block kwa concesions za kiupuuzi namna hii!

Mbona wasi-improve investment conditions wanazojitamba nazo kwa acceptable means! Huku ku-lure makampuni kwa kuyalazimishia ku-invest Kenya kwa namna hii ya kuonsoa tax na huku nchi inakopa ku-finance budget ina maana fair means zimeshindwa!

Mama akijipanga vizuri anaweza kuya-convince yaje Tanzania na umeme wa bei rahisi na usafiri wa SGR wa bei rahisi ukiacha nishati ya gesi. Inabidi wakina Kitila wachangamke!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…