Unafikiri hatuna watu wazuri intellectually ndugu, tatizo wengi wao hujitoa ufahamu sababu ya matumbo yao na kusahau uwezo wao kiakili.Ila hapa jamaa kapiga parefu na inaonekana yuko smart maana kutoboa kwa hao ma francophone huwa sio rahisi
Alichokiomba inaonekana alikifanyia tafiti haswa
Kuna yule Rais wenu mwenye roho mbaya alimbaniaga Membe ππππAliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba amempongeza Dk Faustine Ndugulile kwa kuchaguliwa kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Ukanda wa Afrika.
Dk Ndugulile ambaye ni Mbunge wa Kigamboni (CCM), jijini Dar es Salaam amechaguliwa jana Jumanne, Agosti 27, 2024 katika Mkutano wa Afya wa 74 wa Shirika la Afya Duniani (WHO) unaoendelea Brazzaville, Congo.
Wagombea wengine walikuwa ni Dk Boureima Hama Sambo (Niger) Dk N'da Konan Michel Yao (Cote d'Ivoire) Dk Ibrahima Soc'e Fall (Senegal) na Dk Richard Mihigo (Rwanda).
Soma Pia: Dkt Faustine Ndugulile ashinda kinyang'anyiro cha ukurugenzi Mkuu wa WHO kanda ya Afrika
Dk Ndugulile amepata ushindi huo baada ya nchi 19 kuipigia kura Tanzania katika mzunguko wa kwanza, 12 Senegal, huku Niger na Rwanda zikipigiwa kura saba kila moja.
Baada ya kutangazwa mshindi, pongezi zimeendelea kumiminika na Watanzania mbalimbali akiwemo January ambaye kabla ya uteuzi wake kutenguliwa Julai 21, 2024 na nafasi yake kuteuliwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo, alishiriki kwenye kampeni.
Hiyo para ya mwisho πππUnafikiri hatuna watu wazuri intellectually ndugu, tatizo wengi wao hujitoa ufahamu sababu ya matumbo yao na kusahau uwezo wao kiakili.
Mbaya zaidi uongozi wa Tz ni mzuri sana katika kuharibu akili za wasomi wao. Mtu anaweza kuja na maono mazuri ya kimaendeleo lakini akaishia kutumika kisiasa.
All in all Dr. Ndugulile kadhihirishia ulimwengu kuwa Tz we are more than tabloid and social media maniacs.
Membe angeenda kuliaabisha taifa kwa wizi na ufisadiKuna yule Rais wenu mwenye roho mbaya alimbaniaga Membe ππππ
Toa ujinga wako hapa,yule mtu wenu alikuwa roho mbaya ndio maana kawahiMembe angeenda kuliaabisha taifa kwa wizi na ufisadi
Hata membe pamoja na roho yake nzuri kachelewaToa ujinga wako hapa,yule mtu wenu alikuwa roho mbaya ndio maana kawahi
JPM alikuwa anaroho mbaya kwa mafisadi na wezembe ndio maana hata aliyewatumbua mwamba mama akawarudisha kwa mbwembwe na mawapiga chini kama alivyoteua au na yeye anaroho mbaya?Toa ujinga wako hapa,yule mtu wenu alikuwa roho mbaya ndio maana kawahi
Membe kugombea Commonwealth Secretary Kuna uhusiano gani na mafisadi? Ndio maana kawahiJPM alikuwa anaroho mbaya kwa mafisadi na wezembe ndio maana hata aliyewatumbua mwamba mama akawarudisha kwa mbwembwe na mawapiga chini kama alivyoteua au na yeye anaroho mbaya?
Sasa akifanya ufisadi huko si tungeaibika kama taifa?Membe kugombea Commonwealth Secretary Kuna uhusiano gani na mafisadi? Ndio maana kawahi
Yule mtu wenu alikuwa na roho ya kichawi ππHata membe pamoja na roho yake nzuri kachelewa
Afcon kafanya Nini?Yule mtu wenu alikuwa na roho ya kichawi ππ
Samia amewawezesha Spika,Ndungulile,Afcon,na bila shaka na Odinga atashinda.
Si ndie alimterekeza mama yako ?Toa ujinga wako hapa,yule mtu wenu alikuwa roho mbaya ndio maana kawahi
Sasa mbona kawatumbua nape na makamba kama ana roho nzuri?Yule mtu wenu alikuwa na roho ya kichawi ππ
Samia amewawezesha Spika,Ndungulile,Afcon,na bila shaka na Odinga atashinda.