Unajisikiaje kuwa mtu mzima, halafu unaleta mada za kitoto, huku ukijichekesha hovyo as if kuna mahali unataka kukunwa! Nadhani unatakiwa kukua pia kiakili, badala ya mwili tu.

Huko barabarani huwa hatuwaoni, kumbuka kuna wale mliwatia hasara mali zao wana hamu sana na nyinyi siku mtakayotoka wataanza kuwashughulikia kabla hata polisi hawajafika.