Angyelile99
Member
- Oct 9, 2023
- 94
- 171
Tukubali kuburuzwa,. Lakini inapaswa tuishi hivyo? Hata Kama mtu akizifumania pesa alafu asikie watu wanalia maisha magumu huwa anaona Kama wanampotezea muda Hadi pale pesa zikiisha.Yan ungezaliwa na mzazi mwenye hizo nafasi usingekuja hapa jf kulia lia.
Najua hizi ni moja ya athari ya kutafuta kwa mda mrefu bila kupata(umasikini), si kila jambo linaitaji mabadiliko mengine yapo ili kutubadilisha sisi, kwanzia sasa ishi ukiamini hakuna mwanasiasa atakaekunafaisha kwa lolote, juhudi zako ndizo zitakazokulipa na sio maslahi ya viongozi.
Nafahamu unaroho ya kizalendo kwenye nchi ambayo inaamini uzalendo ni kosa la jinai, huwezi kubadilisha hilo.
Ukitaka kuendesha gari lazima uwe ndani, ukiwa nje utaendeshwa, kwasasa upo nje ya serikali kubali kubuluzwa mpaka pale utakapopata hiyo nafasi.
Ngoja tusubr mana mpka sasa upinzani wana 60% ya kuchukua gari, pengine watakuja na sera mpyaTukubali kuburuzwa,. Lakini inapaswa tuishi hivyo? Hata Kama mtu akizifumania pesa alafu asikie watu wanalia maisha magumu huwa anaona Kama wanampotezea muda Hadi pale pesa zikiisha.
Kikubwa Ni kuongea na kuchukua action wakati wa uchaguzi ili kumpata kiongozi bora
Ndicho tunachosubiri kwa hamNgoja tusubr mana mpka sasa upinzani wana 60% ya kuchukua gari, pengine watakuja na sera mpya
ni kwel mybe. ndio maana wakati mungu anaumba mamba ,Aliona ni vyema kukawa na kenge. ambao ukishindwa kuturiza kichwa. basi wote utajua ni mambaYan ungezaliwa na mzazi mwenye hizo nafasi usingekuja hapa jf kulia lia.
Najua hizi ni moja ya athari ya kutafuta kwa mda mrefu bila kupata(umasikini), si kila jambo linaitaji mabadiliko mengine yapo ili kutubadilisha sisi, kwanzia sasa ishi ukiamini hakuna mwanasiasa atakaekunafaisha kwa lolote, juhudi zako ndizo zitakazokulipa na sio maslahi ya viongozi.
Nafahamu unaroho ya kizalendo kwenye nchi ambayo inaamini uzalendo ni kosa la jinai, huwezi kubadilisha hilo.
Ukitaka kuendesha gari lazima uwe ndani, ukiwa nje utaendeshwa, kwasasa upo nje ya serikali kubali kubuluzwa mpaka pale utakapopata hiyo nafasi.
cha msingi ukifahamu hilo, ujue kabisa wewe ni nani kenge au mamba, ili ukimuona kenge au mamba ujue jukumu lako. By the way hata hao wangelipwa ujira mdogo isingekufaidisha chochote if you r not doing anything for your economics, the world is not for the weaks.ni kwel mybe. ndio maana wakati mungu anaumba mamba ,Aliona ni vyema kukawa na kenge. ambao ukishindwa kuturiza kichwa. basi wote utajua ni mamba