Kumbukumbu zangu zinanionyesha kuwa hakuna mtu aliyeqwahi kuwakatalia hawa ndugu zetu kufanya haya yote. tatizo ni kuwa wanapoambiwa wafuate taratibu, wao wanaona kuwa wanaonewa. nadhani wakifuata taratibu watayapata haya yote na mengine zaidiKwa mujibu wa Katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Zanzibar SIYO NCHI! Lakini ina kila alama zinazoashiria kuwa ni nchi huru yaani; ina Rais, ina bendera yake na pia ina wimbo wa taifa.
Harakati zinazoendelea hivi sasa ni kuwa Zanzibar inataka kuwa na vitu vifuatavyo: Benki kuu yake, sarafu yake na kubwa zaidi inataka iwe na uhuru wa kujiamulia mambo yake yenyewe bila ya kuingiliwa.
Wazanzibari wanataka nchi yao iwe na uhusiano na Tanganyika katika mfumo unaoshabihi uhusiano wa nchi zilizo katika jumuiya ya Ulaya.
​SWALI: Kwa nini tusiwaunge mkono katika adhma yao hiyo ili sisi Watanganyika tupate muda wa kutosha kujadili na kutatua changamoto zinazotukabili?
Kumbukumbu zangu zinanionyesha kuwa hakuna mtu aliyeqwahi kuwakatalia hawa ndugu zetu kufanya haya yote. tatizo ni kuwa wanapoambiwa wafuate taratibu, wao wanaona kuwa wanaonewa. nadhani wakifuata taratibu watayapata haya yote na mengine zaidi
Kumbukumbu zangu zinanionyesha kuwa hakuna mtu aliyeqwahi kuwakatalia hawa ndugu zetu kufanya haya yote. tatizo ni kuwa wanapoambiwa wafuate taratibu, wao wanaona kuwa wanaonewa. nadhani wakifuata taratibu watayapata haya yote na mengine zaidi
Zanzibar ni mzigo.
Na pia muombe Mh. Ngeleja amuagize Kamanda Malima akuonyeshe angalu kidogo yale yanayojiri katika makbrasha anayaotembea nayo katika mabegi!!!!!!!! pengine unaweza ukaliona lile linalohusiana na huko kwenye mzigoZanzibar ni mzigo.
kwa mujibu wa katiba ya jamuhuri ya muungano wa tanzania, zanzibar siyo nchi! Lakini ina kila alama zinazoashiria kuwa ni nchi huru yaani; ina rais, ina bendera yake na pia ina wimbo wa taifa.
Harakati zinazoendelea hivi sasa ni kuwa zanzibar inataka kuwa na vitu vifuatavyo: Benki kuu yake, sarafu yake na kubwa zaidi inataka iwe na uhuru wa kujiamulia mambo yake yenyewe bila ya kuingiliwa.
Wazanzibari wanataka nchi yao iwe na uhusiano na tanganyika katika mfumo unaoshabihi uhusiano wa nchi zilizo katika jumuiya ya ulaya.
​swali: Kwa nini tusiwaunge mkono katika adhma yao hiyo ili sisi watanganyika tupate muda wa kutosha kujadili na kutatua changamoto zinazotukabili?
zaidi ya yote zanzibar haina hata jeshi,na askari wa zanzibar wanatambulika kama vikosi vya smz siyo jeshi. Na hata katika kesi ya uhaini ilishindikana kupata matokeo mazuri kwa upande wa serikali/waendesha mashitaka kudhibitisha kosa la mapinduzi. Maana kikatiba zanzibar ni sehemu ya jamhuri ya muungano wa tanzania hivyo huwezi kupindua zanzibar.
At last Tanzania ndiyo inayotambulika Umoja wa Mataifa, na rais wake, wimbo wake na bendera yake. Ukumbuke kuwa Pepsi wana wimbo wao, TFF ina rais, magurudumu ya Michelin yana bendera yake. Kwa hiyo hata Zanzibar wakiwa na vyote hivyo, kama hawatambuliki haina maana yoyote. Acha Shein ajiite rais wa nchi, lakini JK ndiye atahudhuria vikao vya UN