Jf sio platform ya ccm. Kama una matokeo yaweke hapa kimpango wako. Ama unadhani ccm ni chama cha maana sana hadi kila social media iwajabike kutangaza habari zake?
Swali fikirishi: Kwa Baba Levo kutemwa, Hii inamrahizishia Zitto dhidi ya mgombea CCM aliyeongoza kura za maoni? Je, Zitto angefurahi kupambana na Baba Levo au huyo mwingine?