EJM_ JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 3,836 Reaction score 2,119 Jul 15, 2015 #1 Matumizi ya simu za windows yanakuwa kwa Kasi Sana. Vipi mods hamuoni Kuna umuhimu WA kuwa na App maalum kwa windows phone badala ya kulazimika kutumia third part apps kama tapatalk etc?
Matumizi ya simu za windows yanakuwa kwa Kasi Sana. Vipi mods hamuoni Kuna umuhimu WA kuwa na App maalum kwa windows phone badala ya kulazimika kutumia third part apps kama tapatalk etc?
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,280 Reaction score 44,418 Jul 15, 2015 #2 Tapatalk na app ya jf ndio hio hio au kuna kitu huku kipo na kwengine Hanna?