isajorsergio
Platinum Member
- Apr 22, 2018
- 4,152
- 6,601
- Thread starter
-
- #21
Asante ✊UBARIKIWE SANA mkuu [emoji120][emoji120][emoji120]
Lima ni Jiji kubwa likiwa na miundombinu bora na watu takribani millioni 10.5Kumbe pazuri 😋
Ila Lima inaonekana ni bonge la mji maana kwenye list ya miji mikubwa nauona mara nyingi.
Mkuu kuna time unatumia majani?Lima ni Jiji kubwa likiwa na miundombinu bora na watu takribani millioni 10.5
Anaanzia wapi?Ndugu mtoa mada ulisha wahi kufika nchi yoyote ya amerika ya Kusini?
Majani yapi?Mkuu kuna time unatumia majani?
HakikaAnaanzia wapi?
Hata Buza hapajui
Asante 🙏Ahsante mkuu heshima nyingi
Sawa usisahau tag!Subirini niwaletee historia ya Tanganyika
States mkuuYepi ungependa nifikie yakiwa ya kwanza?