huyo mkeo mbona mgogoro, vumilia hasira zimuishe mzungumze ujue kinachomtatiza, lakini kwa upande mwingine inaonekana wewe ndio tatizo, kwa nini anunue fenicha kwa nguvu ilhali ulimuahidi kununua mwisho wa mwezi?
Mkuu nipo nje kikazi sio navyopenda
Si biashara mkuu, mbona kawaida sana mtu kukaa mbali na mkewe kwa hiyo miezina mkeo hawezi kuja huko ulipo?????/
Samahani ikiwa ntakua nimekukera,Inaonyesha mkeo sio muelewa wala hakuonei huruma,ukombali inatakiwa afanye kama ulivyo muagiza na anainyesha ni wale wanawake wa leo ni leo msema kesho muongo,sasa hiyo fanicha anayo weka ndani kwani mtumiaji si wewe na yeye au anataka kumuonyesha jirani yake mama Avintishi na mama Mtakavyo kama mumewe yuko majuuuu? huyu kwa sasa mpeleke pesa ya kula tuu pesa ya miradi na mambo wengine subiri ukirejea mwenyewe laa sivyo pesa ukiwa unaleta mwenzio anampeleka mtoto wake au wa dadake akachezewe ngoma.
Kuna wanaume huwa wabishi sana kununua furniture za ndani mpaka mke aje juu ili muweze badili, wakati mwingine mke hana njia ya kupata pesa na yeye ndiye anayeshinda ndani na kupata aibu, mara wageni wamekuja masofa yamechanika inabidi atandike mikanga looooooo nimekumbuka mbali sana,kajionea kama soo na iwe soo , mkuu hii inaonekana imekukosesha raha sana, kama upo hapahapa nchini, jitahidi uende huko kijijini ukamwone mkeo kama kanunua sofa mshukuru Mungu utatafuta pesa ingine
Mkuu inaonekana ulioa kabla hujakomaaa eeh? yaani matatizo ya wewe na mke wako, tena madogo kama hayo unakuja kuomba msaada hapa? Mbona wakati unatafuta hukutuomba msaada? wewe ndo unamfahamu zaidi mke wako, nenda mkamalizane naye? kwa hiyo sisi tukisema ulioa jini, nenda kafukuze utafanyeje? acha utoto wewe!!
Mkuu unaugulia wivu au pesa zimenunuliwa fanicha? hahhaaa hivi nimekuchekesha eee eti mikanga kutandika kwenye makochi, baba zetu nao?nimependa ushauri wa babuwa loliondo embu usome kwa makini uufanyie kaziShantel Shantel mwenzio namachungu kwangu kuna fanicha sio kama unavyokumbuka mbali wewe umefanya nicheke japokuawa nilikuwa na uchungu kwanini anifanyie hivyo lakini swa