Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,161
Mbona iko clear dada angu!!!nimesema wadada wa ofisini kwetu...au hujapaona??hamuhusiki chochote nyie wa Jf,lakini kuna wengine wamo humu na wanayaona haya maofisini kwao!!!
Nisameh my dada!!!lol:sorry:
Kiukweli it's fuuny kuwaona jinsi wanavyojipitisha na kupata taabu......dah....
Hapa ofisini kwetu yametokea mabadiliko ya 'top management',ambao walikua ni Managing Director na Chief Operations Officer.Hawa wanaoondoka,mmoja wao alikua M'Ghana,na mwingine alikua Mnigeria,sio siri,wamepiga kazi hawa jamaa....sio kazi kwa maana ya kazi za ofisini!!!la hasha,wakina dada wengi wa hapa ofisini wamegegedwa na hawa jamaa...
Mungu si Mwigulu bana,Group management wamefanya re'location ya mabosi woote,na hawa wa hapa kwetu wamepelekwa sehmu tofauti,na jamaa wapyaaa wameletwa kutoka sehemu tofauti pia.Basi wale wakinadada waliogegedwa,ni full kujipendekeza,mara wamkoogee chai bosi ilihali secretary yupo....ni full raha kwa sie washuhudiaji....
Nawaombeni tu jaman,hebu mjaribu kuwa wagumu kidogo,mtagegedwa,hicho mnacholilia hamtapata............
Worse enough hawa jamaa ni west africans,nahii dada zetu wanaipata kisawa sawa...manake MANDINGO nae ni wa kutoka huko huko.......:hand::hand::hand:
cc lara 1 Kongosho,Mchungaji aliyeasi Bujibuji
ni bora anayekukosoa kuliko anayekusema pembeni hivyo naamini these it could have been better kama ujumbe huu ungewafikia walengwa.Kiukweli it's fuuny kuwaona jinsi wanavyojipitisha na kupata taabu......dah....