Jamani ukweli

julius mahinya

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
1,152
Reaction score
384
Wakati mwingine kuukubali ukweli ni sawa na kunywa dawa za quinine ili upone maradhi!!!!!!!!!
 
Nimekuja kwa speed mwishowe katambuga zimekatika...
:mazafanta:
 
Nidanganye nidanganye tu ,ukiniambia ukweli nitaumia......
Natania tu jamani ,huo msemo ni kwa watu dhaifu km Domo....
 
Kunywa Maji ya kutosha kwani husafisha ngozi na kufanya uwe na ngozi yenye afya bora
 
aisee.!! Katoka kupima ngoma huyu..!?!
 
Kupata ukimwi sio mwisho wa maisha yako. Ndugu nakufahamisha vipimo vinaonyesha upo HV+
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…