Last KING Ontuzu
JF-Expert Member
- Jul 22, 2016
- 587
- 783
Hata hapa wapo tena kibao. Na kwa tangazo hili namshauri tu asiwe mbali na PM yake. Bila shaka atapata wageni wengi tuWaambie wazee wakutafutie kama mwenyewe umeshindwa
Amen Mungu atampatia hitaji la moyo wakeHata hapa wapo tena kibao. Na kwa tangazo hili namshauri tu asiwe mbali na PM yake. Bila shaka atapata wageni wengi tu
Sasa Mwanangwa nisipooa jamii itanipa heshima ninayostahili kweli bhagosha nduhu si!Na huko kwenye himaya yako ya Ntuzu ndiyo kabisaa mnaamini uchawi mpaka inakera yaani. Bagosha!
Halafu kwani kuoa ni lazima ng'wanangwa?
Ebu nishauri basiVitu vingine mnawaonea wachawi
Heshima haiji kwa kuoa, heshima inajengwa kwaSasa Mwanangwa nisipooa jamii itanipa heshima ninayostahili kweli bhagosha nduhu si!