Last KING Ontuzu
JF-Expert Member
- Jul 22, 2016
- 587
- 783
Kila napotafuta binti mwenye msimamo na tabia njema huwa naishia kumkinai mapema na uhusiano kuyumba mwishoni hufa kwa sababu zisizoelezeka.
Na mara nyingi mabinti naowaacha baada ya muda mfupi wanaolewa na mimi hubaki kuwa kama msafisha nyota tuu. Sasa umri umesogea na nina uwezo wa kuhudumia familia, siku zinavyozidi kwenda nakosa hamu ya kuoa tena, najikuta naruka na watu walewale ambao najua kulingana na tabia zao hawana sifa za kuolewa.
Sasa nitaishi hivi mpaka lini? Naona mawazo yangu yanasaliti mipango yangu.