zimetangazwa juzi, na walimu wanatakiwa kuripoti kwenye vituo vyao kuanzia tarehe 1 may. kuna mtu alinionesha clip moja ilikuwa taarifa ya habari chanel ten juzi. tembelea website ya wizara walisema majina na mikoa wataweka huko