Yakhe mie yamenikuta yasiyotakiwa kunikuta mie!Yapata miezi mitatu nimejikuta titi langu la kushoto limetuna na lina kama tudude tumetunatuna na ukilikamua linatoa maji maji japokuwa kwa sasa halitoi maji ila bado tule tudude tupo na tunaendelea kunikosesha amani!Kwa sasa sivai T-shirt za kubana maana nyonyo moja kubwa lingine dogo!Wadau kijiweni wanadai nimerogwa ama nimetembea na mke wa m2 au ndo homoni za kike ndo zinaanza ama za kishoga,japokuwa mzee yupo poa nashindwa kumgonga demu wangu maana aibu ndugu zangu,sa mie cjui niende wapi maana hata doctor atanishangaa kama sio kunitamani chuchu langu!Wadau nisaidieni maana nashindwa lakufanya mie?ntashukuru mkinipa ushauri!

Yaani watu wengine huwa mnashangaza sana, hata kwenda hospitali pia unataka watu wakupe ushauri...!?...sa mie cjui niende wapi maana hata doctor atanishangaa kama sio kunitamani chuchu langu!Wadau nisaidieni maana nashindwa lakufanya mie?ntashukuru mkinipa ushauri!