P PROF MUDI DULA Member Joined Oct 29, 2012 Posts 86 Reaction score 4 Nov 15, 2014 #1 Kipesa changu ni milioni 1.5(bila kuzidi). Natafuta kiwanja ndani ya wilaya ya TMK, DSM. N.B. Kwa wanaoweka namba ya simu (public or privancy), wakiweka za tiGO nitawapigia punde tu baada ya kuweka.
Kipesa changu ni milioni 1.5(bila kuzidi). Natafuta kiwanja ndani ya wilaya ya TMK, DSM. N.B. Kwa wanaoweka namba ya simu (public or privancy), wakiweka za tiGO nitawapigia punde tu baada ya kuweka.
Nokla JF-Expert Member Joined Aug 12, 2012 Posts 3,190 Reaction score 1,780 Nov 15, 2014 #2 Mkuu vile viwanja vyako vya Vikindu umemaliza? Au unataka town zaidi?
P PROF MUDI DULA Member Joined Oct 29, 2012 Posts 86 Reaction score 4 Nov 15, 2014 Thread starter #3 bushlawyer said: Mkuu vile viwanja vyako vya Vikindu umemaliza? Au unataka town zaidi? Click to expand... Vya vikindu vipo, ila kuna mdogo wangu anataka cha mjini.
bushlawyer said: Mkuu vile viwanja vyako vya Vikindu umemaliza? Au unataka town zaidi? Click to expand... Vya vikindu vipo, ila kuna mdogo wangu anataka cha mjini.