Maganga Mkweli
JF-Expert Member
- Jul 14, 2009
- 2,089
- 829
Mkishauriwa msome ualimu,mnadharau..haya sasa,hayo matourism utaenda nayo wapi?
Ndugu subiri tu utafanikiwa Tourism sasa ni time yake....Je, upo tayari kuhamia Northern circuit, Kampuni nyingi zipo huko!! just niPM na CV zako.Nimemaliza Bachelor of Tourism Management 2012, hadi leo sina pa kujisihkiza. Nimeomba kazi sehemu nyingi bila mafanikio na sehemu zingine nimeombwa rushwa ya ngono sikuwa tayari kwa hiyo nilikosa kazi.
Ndugu subiri tu utafanikiwa Tourism sasa ni time yake....Je, upo tayari kuhamia Northern circuit, Kampuni nyingi zipo huko!! just niPM na CV zako.
Humu hatuchezi jamani tunahitaji mabadiliko km uko serious niambie nikupe no zangu then tuyajenge kuhusu aliyekuomba rushwa ya ngono then kazi unapt b4 mwezi wa nne
naishi dar,nmeitwa kama mara 5 hvi....
Sasa uliogopa nini? ungekubaria kitu TIGO kwanza then mkatoa mchango kwa dume imara baada ya hapo kesho yake ungeona sasa fulloffice full viyoyozi kwakwenda mbele.
Sasa uliogopa nini? ungekubaria kitu TIGO kwanza then mkatoa mchango kwa dume imara baada ya hapo kesho yake ungeona sasa fulloffice full viyoyozi kwakwenda mbele.