KATASAN'KAZA
JF-Expert Member
- Jul 24, 2013
- 3,097
- 1,356
.
Wandugu natafuta chumba (gheto) maeneo ya ubungo, kimara kona, Msewe, baruti, kimara mwisho mpaka mbezi, kiwe umeme na maji yawepo around. Kisiwe mbalo sana na barabara kuu kiasi cha mtu kupanda bodaboda.
Namudu kulipa miezi 3-6 siyo zaidi.
Kwa mawasiliano.0715365934
Sante mkuu!Cheki na jamaa huyu...
Sio dalali Bali anapoishi nyumba bado mpya ina vyumba vingi, vizuri balaa.
0719644519
Wandugu natafuta chumba (gheto) maeneo ya ubungo, kimara kona, Msewe, baruti, kimara mwisho mpaka mbezi, kiwe umeme na maji yawepo around. Kisiwe mbalo sana na barabara kuu kiasi cha mtu kupanda bodaboda.
Namudu kulipa miezi 3-6 siyo zaidi.
Kwa mawasiliano.0715365934
Hatari hiiiiiMim nakaa baruti, nina sebule na vyumba viwili, je waweza kuja panga kwangu japo pia nmepangishwa?
kuna sehem uku changanyiken karibu na chuo kikuu dar es salaam anaitwa Jesus villageWandugu natafuta chumba (gheto) maeneo ya ubungo, kimara kona, Msewe, baruti, kimara mwisho mpaka mbezi, kiwe umeme na maji yawepo around. Kisiwe mbalo sana na barabara kuu kiasi cha mtu kupanda bodaboda.
Namudu kulipa miezi 3-6 siyo zaidi.
Kwa mawasiliano.0715365934
Choo cha nje?.... cha kuchangiaWandugu natafuta chumba (gheto) maeneo ya ubungo, kimara kona, Msewe, baruti, kimara mwisho mpaka mbezi, kiwe umeme na maji yawepo around. Kisiwe mbalo sana na barabara kuu kiasi cha mtu kupanda bodaboda.
Namudu kulipa miezi 3-6 siyo zaidi.
Kwa mawasiliano.0715365934
Poa tu boss cha msingi tukikubali namna ya kuishi bila masharti makali.Mim nakaa baruti, nina sebule na vyumba viwili, je waweza kuja panga kwangu japo pia nmepangishwa?
Poah tuh..!Choo cha nje?.... cha kuchangia