Kabla ya kukushauri naomba nikuulize, una uhakika hayo ni matokeo yako?
Halafu division ya 32 ndio nini??
Unajua namna ya kujumlisha hizo points ili kujua division yako??
Kati matokeo yangu sikutalajia Kama itatokea iv Nina History c,Kiswahili b,English c,geograph d,biolog d,chemistry d,civ e na mathematics e.sasa Nina div ya 32.je apo naweza kwenda wapi.nami nil upends sana Kuwa hakim lakini kwa matokeo hayo naw era enda kidato Cha tano iLi nitimize
zangu,wengine wanasema nirudie mtiani.Nimechanganyikiwa mpaka inafika maaali nakosa umuhim Wakuishi. TAfadhari nisaidien mdogo wenu
Ndugu nenda SAINT JOSEPH UNIVERSITY OF TANZANIA UKASOME BACHELOR YA SAYANSIKati matokeo yangu sikutalajia Kama itatokea iv Nina History c,Kiswahili b,English c,geograph d,biolog d,chemistry d,civ e na mathematics e.sasa Nina div ya 32.je apo naweza kwenda wapi.nami nil upends sana Kuwa hakim lakini kwa matokeo hayo naw era enda kidato Cha tano iLi nitimize
zangu,wengine wanasema nirudie mtiani.Nimechanganyikiwa mpaka inafika maaali nakosa umuhim Wakuishi. TAfadhari nisaidien mdogo wenu
Dogo pole sana! Kwa matokeo hayo unawezekano wa kwenda V ni less than 20%. Ku-reseat ni good option BUT kabla ya kufanya hivyo ni LAZIMA kwanza ukubali kwamba UMEFELI !Nimegundua wengi wanao-reseat wanafeli mara ya pili kv huwa wanaamini ile mara ya kwanza walifeli kwa bahati mbaya! Kv wanaamin ilikua bahati mbaya, wanakosa u-serious na kila wakiangalia daftari wanaona vyote walivyoandika wanavijua kumbe hawavijui! Ukikubali kwamba umefeli kisha ukapiga msuli kama first sitting, trust me, UTAFAULU
Tumia hapa sio apa na hapo badala ya apo. Au........
Ntakushauri badae.