Jamani namtafuta mbunge wangu nani kamwona? Je nani mwingine mwanajf anamtafuta mbunge wake?

Sie tuna mwarabu mmoja anaitwa Aziz Abood, inavyosemekana Ndo mbunge we2 wa jimbo la Morogoro Mjini...Huyu ndo sidhani ka atakuja kuchangia, manake kipindi cha kampeni hata ile kutamka "KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI" alikuwa hadi asome kwenye kalatasi..

Mama yangu! Ina maana bado tu wananchi wakamchagua? mh!
 
Mi sina shida na Mbunge wangu wakati wowote yupo karibu na wananchi wake, na kesho J3 tutafanya mapokezi makubwa atakapoletwa mahakamani Mandela wetu. Anawasomesha watoto wa wasio na uwezo, awamu ya kwanza wanafunzi 417 ameshawalipia ada, lengo ilikuwa watoto 1000, chakushangaza serikali ya ccm kwa kutumia watendaji wa serikali wakawatishia wananchi watakaowapeleka watoto wao kusomeshwa na Lema watakiona, yaani kwao ni heri wabaki na ujinga kuliko kusomeshwa na Lema. Nafasi bado ipo kwa wenye ujasiri ili watoto wao wakasome.
 
Kazi ya mbunge ni kugawa pesa? kazi ya ubunge ni kuzuia Ukimwi? Kazi ya mbunge kuinua uchumi?

Kulala bungeni na kwenda kutafuta dada na kaka poa Dodoma! Au ulimaanisha nini wewe kama hayo yote siyo matatizo ya wananchi? Tatizo lako hata huwa sikuelewi huku huwa uko upande wa nani wewe! Nafikiri kazi yako ni kuharibu hali ya hewa tu huku.
 
Mi niko kwa wamakonde toka wamchague mwarabu wao murji aliye wanunua kwa hela nyingi sasa anarudisha zake.hajawai kuonekana jimboni au hata mjengoni.
 
Kwa hiyo wewe ukipiga story na mbunge wako basi inatosha? Watanzania bana

Tatizo lako uwezo wako wa kufikiri pamoja na kufanya kazi za mabwana zako ndicho kinachokutesa, ulifikiri ni story gani wewe? Kuongea na watu ndio mwanzo wa kujua matatizo yao na mawazo yao.
 
Kwahiyo unataka mbunge akatoe Elimu ya kujikinga na Ukimwi?.

Wewe na ritz mna virusi kwenye ubongo wenu hivyo kuanzia leo nawashauri wanaJF kuwahurumia na kuwapuuza tu! Jamani mkiona mchango wowote wenye jina la Mzee,ritz na Ms ni bora tu kutosoma maana ni upupu mtupu, nawasihi wanaJF
 
Wewe na ritz mna virusi kwenye ubongo wenu hivyo kuanzia leo nawashauri wanaJF kuwahurumia na kuwapuuza tu! Jamani mkiona mchango wowote wenye jina la Mzee,ritz na Ms ni bora tu kutosoma maana ni upupu mtupu, nawasihi wanaJF

Kwenye msafara wa mamba kenge hawakosekani. Tutausoma ila hatuwa quote
 

Pamoja mkuu, mabadiliko tutaanzia A-town soon, wasubiri tu ngoma inakaribia kupasuka
 
Wabunge wenu wote wapo huku usiofu watarudi ikifika kipindi cha uchaguzi-Mwana FA(usije mjini)
 
Namshukuru sana mungu mbunge wangu mh Godbless Lema yuko jimboni kila wakati na sasa anaendeleza vita vya kutoa unyanyasaji wa polisi. Pia vita vya kuingoa serikali dhalimu ya magamba. Kesho tunampokea akitoka mahabusualikoshinda vita dhidi ya polisi wanaodhani peoples power ni waoga wa mahabusu. Akisha toka mapambano yanaendelea. Aluta continua!!!!!!!
 
Sie tuna mwarabu mmoja anaitwa Aziz Abood, inavyosemekana Ndo mbunge we2 wa jimbo la Morogoro Mjini...Huyu ndo sidhani ka atakuja kuchangia, manake kipindi cha kampeni hata ile kutamka "KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI" alikuwa hadi asome kwenye kalatasi..
Sasa kwa ni mlichagua?
 
nenda kwenye hotel yake au simama barabara kuu yakipita mabasi yake waulize.si mliona huyu ni mbadala wa bosi wake prof sarungi
 
Kazi ya mbunge ni kugawa pesa? kazi ya ubunge ni kuzuia Ukimwi? Kazi ya mbunge kuinua uchumi?
Hizo si kazi zake, lakini cha ajabu wenyewe wamekuwa wakiomba waongezewe posho na mishahara ili wakafanye kazi hizo hizo
 

Mkuu kwanini kumwahisha hospitali isiwe bure kuzika ndo ikawa bure? Hiyo kwa mtu anaetumia akili ni upumbavu. Pia kugawa mchele na sukari si njema kwani ange create ajira kwa wananchi wake wakajitegemea kuliko kumtegemea yeye tena kwa msimu tu yaani kipindi cha ramadhani
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…