Habari wana jf!
Mwenzenu nimekamatika na hii komedi ya kimarekani inayoitwa MADEA GOES TO JAIL.nadhan hata mara sita imefika tangu nianze kuiangalia.nikiboreka 2 namuwaziaga huyu jamaa anayejifanya bibi na maneno yake ya shomboshombo.kama kuna anayejua komed zenye viwango niambien jaman nikatafute angalau kawikend kangu kawe ka kupendeza!