nimetoka eneo la kujumlishia matokeo ya mnyika, bado kazi inaendelea, njia zooote za kuchakachua zimegonga mwamba, sasa wanavizia tu watu wapungue wamtangaze huyo wanaomtaka wao, lakini wanajiweka katika hali ngumu, matokeo ya jimbo la ubungo, kituo kwa kituo, yako wazi na hata mtoto wa darasa la tatu ukimpa ajumlishe atamtangaza mnyika kashinda