Jamani mbona suala la MO kimya tena,wafanyabiashara wanakosa imani

nzagambadume

JF-Expert Member
Apr 9, 2018
2,430
5,769
Mheshimiwa afande Sirro ulisema itachukua siku 3 kitu kinawekwa peupeeeee, uliyasema hayo tarehe 11 leo imepita 2 weeks au ndo yale mambo ya kuwafanya wabongo wajinga????
Wafanyabiashara wawekezaji waliogopa sana kwa kile kitendo, It is high time muweke mambo hadharani kurudisha imani jameni,ikibidi kamanda mambosasa ambaye hakulala wakati anamsaka Mo hadi kumpata apewe nishani ya utumishi uliotukuka maana hata juzi kafanya kazi kubwa sana kuzuia fujo pale Pr shamba la bibi kwa kuzuia ATC kupokea wanachama 12,000 baada ya kupata intelejensia ripoti kwamba wahunui wa CUF wataenda kufanya fujo.
Report jamani, report hiyoooo si mnaona hata MO hana amani moyoni bado,embu angalia hii picha.
moo.PNG
 
Mind game tu hii. Apo vipofu tulipewa TV tuangalie Mpira. Ko hamna kilichoeleweka
 
alitaka kutuona wajinga kwa kutumia kauli yake watanzania sio wajinga,

tukamshtukia,

movie yao ikabuma
 
Kufanya kazi/biashara na mswahili inataka moyo. Kwanza ukifanya urafiki na mswahili awe mtu wa kawaida ama kiongozi flani ivi kitu cha kwanza kabisa atakuomba pesa, kwa viongozi wa serikalini watakunyonya pesa weee mpaka ukome, hii ngozi nyeusi inatanguliza maslahi mbele kuliko utu. Ndio mana mimi huwa sina mazoea wala urafiki na mswahili mwenzangu. Salamu inatosha.

Mara elfu nifanye urafiki na mzungu ama mwarabu kuliko mswahili.
 
Ni Tanzania pekee ndipo anaweza tekwa mtu km Mo na kupigwa risasi mtu km Tundu Lissu halafu mambo yakaishia juu juu kama vile hayajawahi tokea. Sijui huu usiri maana yake ni nini ?
 
Yaani Mo kama anataka kukimbia, utadhani kakutana na JINI.
 
Kufanya kazi/biashara na mswahili inataka moyo. Kwanza ukifanya urafiki na mswahili awe mtu wa kawaida ama kiongozi flani ivi kitu cha kwanza kabisa atakuomba pesa, kwa viongozi wa serikalini watakunyonya pesa weee mpaka ukome, hii ngozi nyeusi inatanguliza maslahi mbele kuliko utu. Ndio mana mimi huwa sina mazoea wala urafiki na mswahili mwenzangu. Salamu inatosha.

Mara elfu nifanye urafiki na mzungu ama mwarabu kuliko mswahili.
ngozi gani haitangulizi maslahi?
 
Back
Top Bottom