Masaburi ni Jina la Mtu! kama lilivyo Muganyizi.
Na hilo neno katika methali yako limewekwa ili kulazimisha kwa kusudi lichukue maana ya neno ''Kundule''
Sababu Kubwa la Huyo mwenye jina kuwaita wabunge wa Dar es slaaam Wanafikiri kwa Kutumia Makalio..
Gumzo lake likawa Kubwa na kuchukua nafasi ya Makalio au Kundule ligeuke Masaburi... Njia mojawapo ya Lugha kukuwa.
kaoge ule ukalale.....
Mods Funga hii Thread... Inajaza tu yalishazungumziwa haya siku za Nyuma...
Mkuu search Thread za Nyuma ujieleweshe na uburudike.