Wadau mm ni new member nimesoma Bachelor of Business Administration in Human Resource(SAUT).kila nikiapply kazi za HR nakosa nifanyeje na mtaji wa biashara sina naomba ushauli wakuu kitaa kigumu

kwanza una experience? kazi za hr mara nyingi experience muhimu kama huna tafuta position yeyote ujichomeke sehem then hapo sehem badae wanaeza kukufikiria kua hr wao. mfn waweza omba hata customer servc kwny mabenki.