inatakiwa uandike barua ikiwa na passport size makao makuu ya jeshi ukiomba kuahilishiwa muda wa kujiunga na jkt mpaka pale utakapo hitimu masomo. barua yako uiambatanishe na admission letter. kwa maelezo zaidi tembelea web ya jkt. fanya faster mana mwisho wa kupokea barua ni tarehe 5 oktoba.