Wachoyo kama membaz humu kwani leo tumeanza kutiririka humu tokea asubuhi na mpaka sasa hivi tupo bado tunalisongesha lakini hata hatukaribishani kuja kunywa chai au kula chakula.
Hebu achane uchoyo nikaribisheni Gentamycine nije nisogeze siku au kama nyie mmeshindwa kunikaribisha basi mimi kwa hasira nawakaribisheni membaz wote katika sherehe nyeupe mountain city na watu 20 wa kwanza mtakaowahi kuja.
Nitawanunulieni tiketi za walala hoi za tsh 100,000/= ili muone kuwa mimi siyo mchoyo na ni real philanthropist.
Mchana mwema and see you then guys.............I Love you all....................Mwaaaaaaaaaaaaaaaaahhhhhhhhh!