gfsonwin kuna msemo unapendwa sana kutumiwa na wadada...."Mtamaliza mabucha yote lakini nyama ni ile ile."....Huu msemo haona mantiki yoyote....Kuna njemba aliwahi kuandika hapa miaka ya nyuma na akatoa mfano hai ambao ulimhusu...Huyu mkaka yeye alikuwa akienda round mbili basi huwa katosheka kabisa hataki tena kumgusa mtu kwa usiku/mchana wote uliobaki. Akasafiri kwenda Mbeya kikazi kule akaona si vibaya ajitafutie dogo dogo wa kujirusha naye. Aliandika yule dada alikuwa na ngozi laini sana kama ya mtoto mchanga. Basi dada akakubali kujirusha naye. Basi kule kwenye majambo jamaa aliweza kwenda round 7 akabaki anajishangaa ni wapi kaupata uwezo mkubwa kiasi hicho ambao hajawahi kuwa nao na hakutumia mazagazaga mengine yoyote yale ya kuongeza performance. Siku zilizofuata akawa anamtafuta yule dada kwa udi na uvumba ili ajirushe naye tena lakini hakubahatika kumtia machoni tena...Nina hakika angemuona si ajabu angerudi naye Dar 🙂🙂...halafu mnasikia fulani kaokota mdada barabarani tu kaamua kumuoa. Hata kwa wakaka pia kuna tofauti...Fikiria yule wa dakika mbili na yule ambaye anaweza akapiga 45 minutes akifanya vitu vyake.
well said Kaizer kesho bara bara ya 18 ndo mambo yote ma dia. love ya
Naona hii sredi inakaribia kuisha. Kesho ntakuomba unifungulie sredi ya "Mwanaume kama mabinti" Umesikia shem gfsonwin?
Yaani mwanaume ako kama hivi eti...
but BAK tell me huyu alikuwa akimpeleka 2 times but alifikia climax, na huyu wa 7 times naye alimfikisha sasa je pana tofauti kwenye pleasure attained ?
BADILI TABIA kumbe logic hapa ni utundu tu na wala siyo kwamba mtu si mtamu.
Mhhhh! gfsonwin....Swali gumu hilo mimi kulijibu maana sikuwepo kuona kama mdada alifikia kileleni LOL!...huyo alimfikisha round 7 kuna tofauti ndio maana unawasikia wakaka wakisema yule mdada mtamu sana maana hakuna kukinai na unayasikia maraha mpaka utosini lakini wengine hutaki hata kumuona tena maana ilikuwa ni karaha tupu!!!
Utamu ni the way you feel when you are with your partner during sexual intercourse, wengine maji mengi wengine wakavu. Unaweza ukakojoa ndani kwa ndani mara tatu na ukawa mkavu, na wengine utaendelea tu ili mradi usije ukaambiwa impotent. Hiyo ndiyo tofauti. lakini napenda the way mtoa mada anavyoeleza mada yake vizuri sana, shule ipo. Keep well.
Yaani apa gfsonwin, utamsikia Asprin anadai mi waziri wa ngono, lakini ni lazima uwe 'waziri' kama we want to enjoy the game au sio? I mean the more experience, the better....so barabara ya 18 kesho mambo saafi you wont regret.
Hao wengine, wapotezee tu manake kumbuka 'miluzi mingi, humpoteza mbwa' lol
Khaa.............!:coffee:
Kaizer mwaya miye hata sijali manake kama ulkuwa na huyu ntumaini ulijua jinsi ya kukata kiuno manake lazima alikufundisha mwaego, swtlo
gfsonwin....Fikiria pleasure ya 2 minutes na ile ya 45 minutes...Hata muziki wa kucheza kwa dakika mbili hauna raha sana ukilinganisha na ule wa kuucheza kwa dakika 45 🙂🙂
Skiza gfsonwin mpendwa....nafikir nina kitu kwenye akili but nashindwa kukielezea in detailz@bak. ishu ni kwamba raha aile yenyewe inatofautiana extent yake kweli? no matter umeingia round ngapi?
Skiza gfsonwin mpendwa....
Raha ya bao ni ile ile haina tofauti bana.... Liwe la penalt, kona la move au hata la kujifunga mwenyewe.
Tofauti ipo pale kwenye namna na ufundi wa kulitafuta hilo bao.... Hapo ndo kwenye tofauti. Lakini kwenye kuachia yale makitu, burudani ni ileile kama anayepiga punyeto.
Baada ya kusema hayo, natamka rasmi kuwa Sredi ako Klozd.
Twendeni tukapumzike wekiendi ishaingia tukapige ulabu. Kesho tukajiruuusheeee!
:clap2:
Kwaherini watoto!
nafikir nina kitu kwenye akili but nashindwa kukielezea in detailz@bak. ishu ni kwamba raha aile yenyewe inatofautiana extent yake kweli? no matter umeingia round ngapi?
nafikir nina kitu kwenye akili but nashindwa kukielezea in detailz@bak. ishu ni kwamba raha aile yenyewe inatofautiana extent yake kweli? no matter umeingia round ngapi?