Jamani awa wanaojifanya ndio ZUKU waondoke tumewachoka

Cloudz

Member
Jul 13, 2011
8
1
Zuku kana Sio kufua wamefulia,wamekuja. Kwa mbwembwe sasa tumewaona Kama wababaishaji tu,hata Euro mmeshindwa kuonyesha?.Jamani anaelitaka mimi naliuza tena na package yake ya 60,000/=.nitafute tu kupitia nartons@yahoo.com.ni heri Tuvalu na DSTV
 
Mi nilikimbia DSTV nikadhani kwa hawa ZUKU nimepona lakini hamna kitu kabisa!! Bora ningeendelea kuvumila maumivu tu!!
 
Mbona mi nina dish la ft nane na receiver ya FTA nakula Euro bila zengwe kbs.TV za Mozambique na hata UBC wanaonyesha
 
mmeshaambiwa vitaitwa ving'amuzi,wewe hujang'amua,nani wa kulaumiwa zadi ya hivi vipato vyetu kiduchu!
 
hapa Morogoro tunaangalia euro kwa antena kupitia Abood tv
 
Jamani naombeni fundi mzuri wa kuniwekea dish la free???nimechoka na hivi ving`amuzi. Hawa zuku hakuna lolote,unalipia 40,000 kwa mwezi kuangalia news na movies za kawaida tu bila mpira??kwanza kinachonishangaza ukipiga customer care ni wakenya wapo tuu, ina maana watanzania hata customer care hatuwezi??hivi hii mikataba inasainiwa na nani??haina maslahi na nchi????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…