jaman nini kifanyike hapa?

love peace

Senior Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
130
Reaction score
37
Habari wakuu!...
hope jumapil inaenda poa,jana usiku kuna rafik yang kipenz ameniomba ushaur .lakin naona nkileta kwenu mtamsaidia ipasavyo.
Yey kamaliza chuo mwaka huu na mpenzi wake anamaliza mwakani. Wakiwa chuo walkubaliana kwamba wasifanye mapenz mpaka wamalize na kaka akienda kujitambulisha kwa wazaz wa dada.kwamba wachungzane
Wakiridhiana ndio wakajitambulshe na sex iendelee.
Jana kaka anamwambia dada, yan rafik yang kwamba wamekaa mda bila sex na anahtaji wafanye. Kabla ya kufanya wanataka mkaka akajitambulshe kwanza kwa wazaz wa mdada.KUMBUKA MKAKA YUPO CHUO NA ANAMALIZA MWAKAN NA HELA C TATZO..

SWALI...JE!ni sahih kwa mkaka kwenda kujitambusha sasa huku yupo chuoni?
..JE.wazaz wake mkaka watamuelewa? Au lah nin kifanyike?
 
Kwani mtu akiwa chuoni haoi/olewa?

Au kuna kitu zaidi ya hiki unachokifikiria chenye mahusiano na "mwanafunzi"?
 
Achana nao wote hawajielewi?????sion kama kuna jambo gumu katika lolote unalolitaka.
Chuo,kujitambulisha......mara hajamaliza,mara wazazi watamuelewa,mara pesa si tatizo ni kitu gani hicho!!!!!?
 
Achana nao wote hawajielewi?????sion kama kuna jambo gumu katika lolote unalolitaka.
Chuo,kujitambulisha......mara hajamaliza,mara wazazi watamuelewa,mara pesa si tatizo ni kitu gani hicho!!!!!?
Umepotea mama!!Upo poa?Missed you...
 
Umepotea mama!!Upo poa?Missed you...

Narudi taratibu mamito wangu.....si unajua nilipata matatizo???bas kwakwel nilipagawa lakin nashukuru Mungu sasa hiv naendelea vizur tu!!!!!Miss u too mimi49
 
Last edited by a moderator:
Tell your friend to GROW SOME BALLS and not do as any woman says! Not just the FG but any woman! He is so naive!!!!!! How can he pay rent without inspecting the house down stairs? What if he doesn't like the house down stairs!!!!!!!

A cow is bought by valuing the litters of milk he can produce! We aint in the 20's no more! BUYER BE AWARE!!!!!!!

I BET YOU THE WORLS THAT GIRL AINT A VIRGIN AND IS SHAGGING OTHER DUDES RIGHT NOW! Times like these a brother just needs to be SMART AND CALCULATING!!!!!!!! Him sparing her doesnt mean the wolves will do the same too! How sad! But its the world we live in!
 
Narudi taratibu mamito wangu.....si unajua nilipata matatizo???bas kwakwel nilipagawa lakin nashukuru Mungu sasa hiv naendelea vizur tu!!!!!Miss u too mimi49
Nimefurahi kusikia upo sawa mpendwa..Yote mitihani ya maisha tu...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…