2 pacha Senior Member Joined Dec 15, 2013 Posts 136 Reaction score 44 Jan 11, 2014 #1 jamani naombeni msaada wenu kwa yoyote yule anayejua dawa ya kuongeza na kurefusha umme kwa kwa kutumia dawa ya asali. msaada tafadhar!
jamani naombeni msaada wenu kwa yoyote yule anayejua dawa ya kuongeza na kurefusha umme kwa kwa kutumia dawa ya asali. msaada tafadhar!
high vampire JF-Expert Member Joined Nov 17, 2012 Posts 2,944 Reaction score 2,183 Jan 11, 2014 #2 jamani hebu waulize watu wako wa karibu yawezekana na wenyewe walishawahi kufanya mambo ya kipuuzi kama haya
jamani hebu waulize watu wako wa karibu yawezekana na wenyewe walishawahi kufanya mambo ya kipuuzi kama haya
warlord Member Joined Dec 27, 2013 Posts 84 Reaction score 81 Jan 11, 2014 #3 2 pacha said: jamani naombeni msaada wenu kwa yoyote yule anayejua dawa ya kuongeza na kurefusha umme kwa kwa kutumia dawa ya asali. msaada tafadhar! Click to expand... Asali? Hii Mupya :A S 13:
2 pacha said: jamani naombeni msaada wenu kwa yoyote yule anayejua dawa ya kuongeza na kurefusha umme kwa kwa kutumia dawa ya asali. msaada tafadhar! Click to expand... Asali? Hii Mupya :A S 13:
g click JF-Expert Member Joined Dec 7, 2012 Posts 2,427 Reaction score 511 Jan 11, 2014 #4 ridhika na ulichonacho
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 64,372 Reaction score 99,143 Jan 11, 2014 #5 2 pacha said: jamani naombeni msaada wenu kwa yoyote yule anayejua dawa ya kuongeza na kurefusha umme kwa kwa kutumia dawa ya asali. msaada tafadhar! Click to expand... Waulize wamasai.
2 pacha said: jamani naombeni msaada wenu kwa yoyote yule anayejua dawa ya kuongeza na kurefusha umme kwa kwa kutumia dawa ya asali. msaada tafadhar! Click to expand... Waulize wamasai.
Blaki Womani JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 11,228 Reaction score 13,450 Jan 11, 2014 #6 Mzizi Mkavu unaitwa huku Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Fadhili Paulo JF-Expert Member Joined Sep 1, 2011 Posts 3,211 Reaction score 996 Jan 11, 2014 #7 ulio nao una urefu kiasi gani? una miaka mingapi? una kilo ngapi? mwili wako una urefu kiasi gani?.