Jaman HIACE ni shilingi ngapi?

na mabasi marefu ni pesa ngapi mkuu?
Yutong 250M mpaka 300.Marcopolo haishuki 600M. Scania kama 800M,chini ya hapo labda yale ya kwetu made in Geita...(jokes)
 
namaanisha coaster au DCM mzee
 
mbagala ubungo, kkoo mbagala, tegeta kkoo, kimara posta, mbezi posta
Mimi nipo Mwanza na sijawa na uzoefu wa hesabu hzo kwa mji wa Dar.hapa Mwanza Hiace zina hesabu ya 60elfu per day town trip,Costa za kutoka nje ya mji na kurudi hesabu inaanzia laki moja
 
aisee, ila route ya mbagala ina watu wengi inaweza ikawa zaidi ya laki moja kwa siku.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…