Jaman FIFA!!?

Wakutu

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2012
Posts
249
Reaction score
173
Football inaendelea saaana ....mmmh wacha twende tu mbele
 

Attachments

  • 1403595563576.jpg
    61.3 KB · Views: 704
2050...................................😛eep:
 
Duh hako kabastola wachezaji watukutu kama 'Balloteli lazima wawe wapole tu
 
Ha ha ha.....km wale "mabwege" Cameroon waliopigana unatwanga za kiuno wakajifunze adabu mbele huko....
 
Ha ha ha.....km wale "mabwege" Cameroon waliopigana unatwanga za kiuno wakajifunze adabu mbele huko....
Wamekosa utovu wa nidhamu na jana yule mmoja akataka kulianzisha kwa NEYMAR bila ya sabau yoyote amemsukuma wakati yuko nje kabisa ya uwanja.

Na ukiangalia walipocheza ile mechi nyuma ya jana nafikiri itakua Croatia kama niko sawa utaona kiasi gani jamaa wamekosa nidhamu na SONG ndiye alieanzisha balaa yote kamsukuma mwenzake hajaanguka kaenda mmalizia na kipepsi kwa nyuma iliyosababisha apewe nyekundu.

Hawa wamekosa nidhamu na ukiangalia uchezaji wa jana pamoja wamechabangwa lakini walionesha uwezo na kama wangeanza vile tokea mechi yao ya kwanza wangeweza endelea hatua nyingine
 
Tabu wanaanza kuvuta ile kitu ya "Bob Marley" ndo wanaingia uwanjani.......bure kabisa hawa alafu tunadaiwa Africa tuongezewe nafasi...kwa mpira ule?
 
Tabu wanaanza kuvuta ile kitu ya "Bob Marley" ndo wanaingia uwanjani.......bure kabisa hawa alafu tunadaiwa Africa tuongezewe nafasi...kwa mpira ule?
Msiisingizie hiyo, mimi nitakupinga. Ile kitu inakufanya uwe na amani sana na akili inatulia.

Waafrika naweza sema nidhamu tumekosa au sijui wale jamaa wana kamgogoro kambini? mbona wakiwa katika timu zao wanazochezea kila siku hatuoni vituko kama vile.

Tukichukulia mfano hai GHANA walipocheza na GERMANY wangeweza kutoka na ushindi pale tatizo uchoyo mfano hai Jordan Ayew alipoingia umeona kwa kiasi kikubwa amechangia kuwanyima wenzake ushindi kwa uchoyo, badala ya kuangalia taifa yeye anataka asafishe jina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…