Nina mdogo wangu ambaye alikuwa anasumbuliwa na tatizo vaginal infection jana alienda hospital na akapewa vdonge vya kuingiza sehem za sir kwa 6 days,tatizo n kwmba leo ameingia period ameniuliza aendelee na doz au akatishe doz mpaka period iishe coz anaofia dawa inaweza isifanye kazi
Clotrimazole pessaries/vaginal cream insert 1 tablet or apply at night for 6 days, kutokana na uelewa wangu hutumika hata kama mwanamke yuko period ila hairuhusiwi kwa mjamzito,au kama inakuletea mazara unatakiwa kuripoti kwa Dactari wako