Majaribu2013
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 950
- 1,050
Azam tv nao waache unazi siku ya mechi ya simba na azam walikuwa wanakwepa kuonyesha replay ya fauluo aliyofanyiwa okwi llakini ya jana wamerudia mara kadhaa
Malinzi alishashindwa kabla hajaanza...na tulionywa kuwa malinzi hana lolote tukawa wabishi..Kutwa yuko twitter na kupanda panda lift za pale PPF towers kuangalia angalia mabebez...soka la TZ linakufa kwa sababu ya Malinzi
Kwani huyu jamaa si anatoka kumoja na yule mama Anna Tibaijuka!!! bure kabisa hili kabila kupewa mamlaka ya kuongoza. Nilianza kuudharau uongoz wa Jamal Malinzi pale tff tangu ile siku wanamuidhinisha Emanuel Okwi kuwa mchezaji halali wa simba kutoka yanga. Inaniuma sana kumuona kijana mwenzetu anafanya mambo hovyo namna hii. Leo watz tupo busy kuangalia congo brazaville wakitesa afcon, cape verde hawa hawa ambao walikuwa hawachomoki kwa watz leo hii wenzetu wametuacha mbali kabisa, JAMAL MALINZI ana mipango lukuki kwenye makaratasi lakin utekelezaji 'F'.
Yanga hawakuwa wajinga waliona hili.
lkn kuhusu malinzi yule bwana hakuna kitu anachojua katika soka nadhani atakaa awamu moja tu na pengine anaweza asiimalize
vipi Yanga alipoidhinishwa kuchezea Yanga, umbumbu wa viongozi wako usiwe ni scape goat