Wilbert1974 JF-Expert Member Joined Feb 10, 2011 Posts 1,632 Reaction score 481 Jan 22, 2013 #1 Tunyama twingine hana mpango navyo... Yeye ni Tembo tu..
Bilionea Asigwa JF-Expert Member Joined Sep 21, 2011 Posts 16,590 Reaction score 28,761 Jan 22, 2013 #2 Huyu hana undugu na CHINANA...........
KIJOME JF-Expert Member Joined Jun 7, 2012 Posts 3,084 Reaction score 733 Jan 22, 2013 #3 asigwa said: Huyu hana undugu na CHINANA........... Click to expand... Licha ya undugu nadhani ni yeye mkuu,kwani huyu si msomali au ni simu yangu inaonyesha picha kwa kichina?
asigwa said: Huyu hana undugu na CHINANA........... Click to expand... Licha ya undugu nadhani ni yeye mkuu,kwani huyu si msomali au ni simu yangu inaonyesha picha kwa kichina?
Baba V JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 19,479 Reaction score 9,551 Jan 22, 2013 #4 Hako kamnyama pembe zake hazina dili
kbm JF-Expert Member Joined Oct 5, 2012 Posts 5,224 Reaction score 1,687 Jan 22, 2013 #5 Wilbert1974 said: View attachment 80486 Tunyama twingine hana mpango navyo... Yeye ni Tembo tu.. Click to expand... ..., masikini! Nako kalitoroshwa, kakasafirishwa kwenye ndege...
Wilbert1974 said: View attachment 80486 Tunyama twingine hana mpango navyo... Yeye ni Tembo tu.. Click to expand... ..., masikini! Nako kalitoroshwa, kakasafirishwa kwenye ndege...
Bilionea Asigwa JF-Expert Member Joined Sep 21, 2011 Posts 16,590 Reaction score 28,761 Jan 22, 2013 #6 KIJOME said: Licha ya undugu nadhani ni yeye mkuu,kwani huyu si msomali au ni simu yangu inaonyesha picha kwa kichina? Click to expand... Itakua ni simu yako mkuu...ni yeye kabisa aisee..........
KIJOME said: Licha ya undugu nadhani ni yeye mkuu,kwani huyu si msomali au ni simu yangu inaonyesha picha kwa kichina? Click to expand... Itakua ni simu yako mkuu...ni yeye kabisa aisee..........